Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2019

BIASHARA YA SALOON YA KIUME

                  BIASHARA YA SALOON YA KIUME Biashara ya saloon ni biashara ya kawaida sana kama utachukulia kimatazamo wa kawaida ila kama utachukulia kwa mtazamo wa kutaka kifika mbali na kubadilisha maisha ni biashara yenye pesa sana kama utakuwa mbunifu kwa kutumia technologia ya sasa. Kuna msemo unasema kwamba “ukitaka kufanikiwa kwenye biashara yoyote kwa sasa ibadilishe iwe biashara ya kutumia mitandao ya kijamii(social media)”. Sijawai kuona mtu anatangaza biashara yake ya saloon kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa anamini ni biashara ya kawaida sana na haiwezi kumuingizia pesa nyingi ata akitangaza kwenye mitandao ya kijamii. Thana potofu… Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara ya saloon ya kiume fanya yafuatayo bila kuruka hatua ata moja : Tafuta sehemu ambayo ipo maeneo ya barabarani au yenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Usiogope kukuta saloon zingine zipo wewe fungua kwa kuwa mbinu unayoenda kuitumia lazima wapinzani wako waombe pooo. Fungua akaunti

MAMBO 5 YA KUFANYA KWENYE MTANDAO KUWAFIKIA WATU WENGI NA KUUZA BIDHAA NYINGI

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi. Kama wewe ni mjasiriamali mwenye bidhaa au huduma nzuri lakini unashindwa kuwafikia watu wengi kwenye mtandao basi hakikisha unanipa macho na masikio yako kwani huenda makala hii ikawa moja ya makala muhimu utakayosoma mwaka huu. Kutokana na uzoefu wetu wa kutumia mtandao kwa miaka zaidi ya 6 kupata wateja, tumegundua kuna mambo 5 ukiyafanya vizuri basi utawafikia watu wengi na kuuza bidhaa nyingi sana. Mambo yenyewe ni : 1. Zingatia Ubora: Zingatia ubora Ukiwa unatoa bidhaa au huduma nzuri kwenye soko yenye kutatua matatizo ya wateja wako, basi utapata majeshi ya watu watakaokusaidia kusambaza ujumbe kuhusu bidhaa yako bila ya wewe kuwalipa chochote. Wajasiriamali wa Silicon Valley, Marekani wana msemo wao unaosema, The goal is to develop a product so good that customers will move the products for us before we consider marketing it. Yaani, Lengo ni ku

BIASHARA YA JUICE

                       BIASHARA YA JUICE Biashara ya juice imekuwa maarufu sana nchini, kila sehemu wanauza juice ambazo zinafanana kwa kila kitu kinachotaufisha na majina ya ofisi zao. Kama unataka kuanzisha biashara ya juice anzisha tengeneza juice za aina mbili tu, moja iwe na mchanganyiko vitu mbalimbali kuleta radha na kurutubisho zaidi na kuvuta wateja wengi zaidi.   Mchanganyiko huo ni kama ufuatao A. MASTER JUICE 1. Muhogo 2. Karanga 3. Maziwa fresh Changanya kwa pamoja na weka kwenye BLENDER bila kuweka sukari wala maji, maziwa yanasimama badala ya maji. Mchanganyiko huu una virutubisho vingi sana vinavyo mwenzesha mtu kupata nguvu na kuongeza usharishaji mkubwa sana wa mbegu za kiume na kuongeza kiasi kikubwa za nguvu za kiume. B. TENDE & MAZIWA FRESH. Juice ya tende na maziwa pia unaongeza sana nguvu kwenye mwili na kuchochea nguvu nyingi sana kwa wale wenye matatizo ya nguvu za kiume. Unavyo kunywa mara nyingi ndiyo unavyo ong

BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA

                      BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA Ukiwa kilimanjaro, meimoria ni sehemu maarufu sana kwa biashara especially mitumba. Watu wanatoka Arusha wanakuja kununua mitumba Meimoria. Memoria ni sehemu ambayo by experiece wanauza mitumba kwa bei chini sana campare na mikoa mingine, hii fursa kwasababu kama sehemu moja inauza vitu bei chini na sehemu nyingine wanauza bei juu, sijui kwann unalalamika maisha magumu wakati fursa ipo mkoani mwako. Kama kweli umeamua kufanya hii biashara na kubadilisha maisha yako kwa mtaji wa 100K tu , fanya yafuatayo: 1. Fungua Instagram Account na iwe Business Account. 2. Target mikoa ambayo bei ya mitumba iko juu mfano DODOMA. 3. Weka bei chini kwa kuwavuta wateja wengi ila usipate hasara. Siku zote angalia wingi wa watu usiangalie sana bei, bei ikiwa juu sana watz hawanunui ata kama mashuka yako ni mazuri. 4. Piga hesabu ya wateja wako kupata bidhaa baada ya kununua kwako. Nenda na confidence ongea na konda au

BIASHARA YA UDALALI WA NYUMBA

                        DALALI WA NYUMBA APP ya udalali wa nyumba, kila siku watu wana tafuta chumba au nyumba kwa lengo la kubadilisha madhari. Dalali wa nyumba au vyumba ni kazi sana kumpata kama unahamia sehemu ambayo wewe ni mgeni , madalali wengi ni gharama sana kuzungusha sehemu wewe unataka. Kuna changamoto kubwa sana kwenye kutafuta chumba au nyumba kwa kutafuta madalali na kupata chumba ambacho unataka pia ni changamoto kubwa na inachukua muda mrefu. APP ya udalali zipo lakini bado hazijatatua matatizo ya watu kupata chumba kirahisi, APP bado ina kuunganisha na madalali wa kukutafutia chumba.   APP ilipo bado haimpi mtu uwakika wa kupata chumba kwa wakati au anachokitaka. Suluhisho la tatizo la kutafuta chumba au vyumba ni kutengeneza APP ambayo inaongoza mpangaji na mwenye nyumba moja kwa moja na kuchangua chumba au nyumba viliivyopo kwa mwenye nyumba husika. Akishapata chumba/nyumba analipia kodi ya miezi 6 + kodi ya mwezi 1 ya dalali (kamisheni) kwa kutumia ti

BIASHARA YA STATIONARY

           BIASHARA YA STATIONARY Biashara ya stationary imekuwa maarufu sana tanzania nzima, wanaofanya wengi wanajua vitu ambavyo wengi wanajua ndo maana wanagawana wateja na baadhi ya waanzilishi wanashindwa na kufunga ofisi. Wengi wanafanya biashara hii kwa mazoea na sio kwa ubunifu na mwendelezo wa kujifunza zaidi na zaidi na kuwa bora kwenye kazi yake. Wengi hawajui kubuni kazi mpya zinazotokana na printing, wengi wanatumia PUBLISHER kutengeneza kadi n.k bila kujua kuna kitu kinaitwa ADOBE ILLUSTRATOR, ADOBE PHOTOSHOP, ADOBE FIREWORKS n.k ambazo ukitumia hizo software unatengeneza kadi ambazo utakuwa tofauti kabsa na wengine , ila watu wanapenda vitu virahisi ndo maana hatuon faida kwenye stationary baadae kufunga ofisi na kutafuta biashara zingine. Kama unataka kufanikiwa kwenye biashara ya stationary fuata hatua zifuatazo bila kuruka: 1. Penda kujifunza zaidi kuhusu huduma zitokanazo na printing. Usipenda rahisi kutoka publisher wengi wanafanya na kufanya

BIASHARA YA JUICE

                       BIASHARA YA JUICE Biashara ya juice imekuwa maarufu sana nchini, kila sehemu wanauza juice ambazo zinafanana kwa kila kitu kinachotaufisha na majina ya ofisi zao. Kama unataka kuanzisha biashara ya juice anzisha tengeneza juice za aina mbili tu, moja iwe na mchanganyiko vitu mbalimbali kuleta radha na kurutubisho zaidi na kuvuta wateja wengi zaidi.   Mchanganyiko huo ni kama ufuatao A. MASTER JUICE 1. Muhogo 2. Karanga 3. Maziwa fresh Changanya kwa pamoja na weka kwenye BLENDER bila kuweka sukari wala maji, maziwa yanasimama badala ya maji. Mchanganyiko huu una virutubisho vingi sana vinavyo mwenzesha mtu kupata nguvu na kuongeza usharishaji mkubwa sana wa mbegu za kiume na kuongeza kiasi kikubwa za nguvu za kiume. B. TENDE & MAZIWA FRESH. Juice ya tende na maziwa pia unaongeza sana nguvu kwenye mwili na kuchochea nguvu nyingi sana kwa wale wenye matatizo ya nguvu za kiume. Unavyo kunywa mara nyingi ndiyo unavyo ong

BIASHARA YA BAGIA ZA DENGU

BIASHARA YA BAGIA ZA DENGU Biashara ya Bagia za   Dengu wengi watakuwa wanafanya lakini sidhani kama watakuwa wanafanya kibiashara zaidi na maana kwamba wengi wanafanya kwa mazoea, ndiyo maana biashara hii wengi wanaidharau nakuona kama haina pesa na kufikri ni biashara ya watu wenye hali ya chini. Biashara hii ni nzuri kama utajua sehemu nzuri ya kuweka ofisi yako yenye mkusanyiko mkubwa wa watu, mfano chuo, stand ya dalala , njia kuu ya barabara au karibu na barabara magari mengi yanapita. Kwa Dar naona wengi wanafanya lakini sio wabunifu kwa maana kwamba wanauza ila hawajali afya za wateja wao, wanauza bagia hawazifuniki kwa kuzuia vumbi na michanga kwenye badia zao, hii ni kutojua thamani ya wateja wao. Kutojua thamani ya wateja wao ni kujikosesha pesa ambazo zipo , na wengi wanakosa hizo pesa kwa kutojua ni namna gani anaweza kutumia biashara hii kubadilisha maisha yako na kukuza biashara na kuwa kubwa zaidi na ifikie level ya mgahawa. Ukitaka ufanikiwe kwenye

NJIA 5 ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA

  NJIA 5 ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA BORA 1: TAFUTA UHITAJI Kila mafanikio ni matokeo ya uhitaji wa watu. Kila unacholi­pia pesa, kwako ni UHITAJI na kwa unayempa pesa ni kuwa AMETATUA TATIZO lako. Kwa maneno mengine. Kadiri unavyoweza kutatua matatizo MAKUBWA na MENGI ndivyo unavyopata vyanzo vya pesa zaidi. Kwa ufupi umaskini ni matokeo ya kukimbia kutatua matatizo na utajiri ni matokeo ya kukimbilia kutatua matatizo. Leo ningependa tuangalie njia kadhaa za namna ya kupata mawazo yanayoweza kuwa chanzo cha kubadilisha maisha yako unapoamua kuyafanyia kazi. Na hapa ningependa kuwa­kumbusha maneno ya William Cameron aliyesema; “Money never starts an idea; it is the idea that starts the money.” Fedha haileti mawazo ila ma­wazo ndiyo huleta pesa, ndiyo maana kuna watu walishawahi kupata pesa nyingi ila kwa ku­kosa mawazo wamerudi katika kufeli na umaskini. Hebu chukua dakika moja, jiulize; Katika mazingira niliyopo, je, kuna uhitaji gani ninaoweza kuutatua? Ch

WAZO LA BIASHARA

                            WAZO LA BIASHARA IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako? Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe 2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa? Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine w

KANUNI 15 ZA UJASIRIAMALI

Kanuni 15 za Ujasiriamali Ambazo ni Lazima Uzifahamu!!! Ikizingatiwa kuwa upatikanaji wa ajira umekuwa wa shida sana, watu wengi hujikuta wakiwa na chaguo la kuwa wajasiriamali pekee kwenye maisha yao. Wengi hutamani au hata kujiingiza kwenye ujasiriamali, lakini siyo wote wanaofanikiwa kutokana na kutokufahamu kanuni muhimu za ujasiriamali. Ni wazi kuwa ili uanzishe kitu chochote chenye mafanikio, ni lazima ufahamu kanuni za kukifanya kitu hicho jinsi ipasavyo. Ikiwa wewe ni mjasiriamali, au unataka kuwa mjasiriamali, basi fuatilia makala hii ili nikufahamishe kanuni 7 za ujasiriamali. 1. Kuwa mtatuzi wa matatizo Ujasiriamali ni zaidi ya kupata pesa, ni lazima kwanza utatue changamoto ya mtu ndipo utaweza kupata pesa kutoka kwa mtu husika. Ni muhimu ukafahamu kanuni hii kama mjasiriamali kwani hutojikita kutafuta pesa bali utajikita kutatua matatizo ya watu. Kwa mfano kama kuna tatizo la upatikanaji wa mboga katika mji au eneo unalokaa, i