Skip to main content

BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA


                      BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA

Ukiwa kilimanjaro, meimoria ni sehemu maarufu sana kwa biashara especially mitumba. Watu wanatoka Arusha wanakuja kununua mitumba Meimoria.

Memoria ni sehemu ambayo by experiece wanauza mitumba kwa bei chini sana campare na mikoa mingine, hii fursa kwasababu kama sehemu moja inauza vitu bei chini na sehemu nyingine wanauza bei juu, sijui kwann unalalamika maisha magumu wakati fursa ipo mkoani mwako.

Kama kweli umeamua kufanya hii biashara na kubadilisha maisha yako kwa mtaji wa 100K tu , fanya yafuatayo:



1. Fungua Instagram Account na iwe Business Account.



2. Target mikoa ambayo bei ya mitumba iko juu mfano DODOMA.



3. Weka bei chini kwa kuwavuta wateja wengi ila usipate hasara. Siku zote angalia wingi wa watu usiangalie sana bei, bei ikiwa juu sana watz hawanunui ata kama mashuka yako ni mazuri.



4. Piga hesabu ya wateja wako kupata bidhaa baada ya kununua kwako. Nenda na confidence ongea na konda au dereva omba kama msaada 5k kwa shipping kwenda mkoa husika.



5. Weka idadi ya mashuka 5 ili ufidie kwenye shipping cost. Walazimishe wateja wako kwa bei chini ili wanunue mengi.



Mfano wewe umenunua shuka 1 @7k wewe ukauza 15k, (15k x 5)-5k, kwa lugha nyepesi ni kwamba kila kwenye mashuka matano , shuka 1 ndo unatoa 5k na bado upati hasara.



6. Usipende sana PESA , jari huduma nzuri kwa wateja. Mteja anapo lipia akikisha kesho unatuma mzigo wake mapema ili awahi kuupata mapema.



7. Pesa kuwauliza wateja wako kuhusu huduma yako, wao wanaionaje ili iwe rahisi kwako kuboresha.

8. Usisahau kutoa zawadi kwa wateja watakao leta wateja wapya kununua mzigo kwako(Referral Marketing)



9. Post saa 9 asubuhi na saa 11 jion kila siku na post mara nying uwezaje maana unapozidi kupost ndivyo watu wanazid kukufollow(Be consistence)



10. Tumia hashtags ambazo ni maarufu instagram ili watu waje wengi kwako na kuona bidhaa zako.



“Uwezi kupunguza uzito kwa visingizio”
















Comments