BIASHARA YA JUICE
Biashara ya juice imekuwa maarufu sana nchini, kila sehemu
wanauza juice ambazo zinafanana kwa kila kitu kinachotaufisha na majina ya
ofisi zao.
Kama unataka kuanzisha biashara ya juice anzisha tengeneza
juice za aina mbili tu, moja iwe na mchanganyiko vitu mbalimbali kuleta radha
na kurutubisho zaidi na kuvuta wateja wengi zaidi. Mchanganyiko huo ni kama ufuatao
A. MASTER JUICE
1. Muhogo
2. Karanga
3. Maziwa fresh
Changanya kwa pamoja na weka kwenye BLENDER bila kuweka
sukari wala maji, maziwa yanasimama badala ya maji.
Mchanganyiko huu una virutubisho vingi sana vinavyo
mwenzesha mtu kupata nguvu na kuongeza usharishaji mkubwa sana wa mbegu za
kiume na kuongeza kiasi kikubwa za nguvu za kiume.
B. TENDE & MAZIWA FRESH.
Juice ya tende na maziwa pia unaongeza sana nguvu kwenye
mwili na kuchochea nguvu nyingi sana kwa wale wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Unavyo kunywa mara nyingi ndiyo unavyo ongeza zaidi nguvu za
kiume na kuimalika zaidi na zaidi.
Kuwa mdada kwenye biashara hii, ili kuwa motivate zaidi na zaidi wakati wa
kuhudumia wateja wako na kujaribu kuwa kama watu wa PWANI ingawa wewe ni
mwanamke wa mikoani hahaha.
Ubunifu kwenye biashara ni muhimu sana ili kuwa vuta wateja
wengi zaidi na kubadilisha biashara na maisha yako kiujumla.
Na wateja wako watakuwa ni WANAUME ONLY.
Kwa kuchagua aina ya wateja itakusaidia kujitofautisha na
wauza juice walio wengi na kukufanya uwe na nguvu ya kutawala soko kwasababu
umedili na aina moja ya wateja, ambacho ni kitu kizuri sana kwenye biashara ya
ushindani.
“Kimbilia kuwa tofauti na sio kuwa bora.”
“Focus on small area”
Comments
Post a Comment