Skip to main content

Posts

BIASHARA YA SALOON YA KIUME

                  BIASHARA YA SALOON YA KIUME Biashara ya saloon ni biashara ya kawaida sana kama utachukulia kimatazamo wa kawaida ila kama utachukulia kwa mtazamo wa kutaka kifika mbali na kubadilisha maisha ni biashara yenye pesa sana kama utakuwa mbunifu kwa kutumia technologia ya sasa. Kuna msemo unasema kwamba “ukitaka kufanikiwa kwenye biashara yoyote kwa sasa ibadilishe iwe biashara ya kutumia mitandao ya kijamii(social media)”. Sijawai kuona mtu anatangaza biashara yake ya saloon kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa anamini ni biashara ya kawaida sana na haiwezi kumuingizia pesa nyingi ata akitangaza kwenye mitandao ya kijamii. Thana potofu… Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara ya saloon ya kiume fanya yafuatayo bila kuruka hatua ata moja : Tafuta sehemu ambayo ipo maeneo ya barabarani au yenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Usiogope kukuta saloon zingine zipo wewe fungua kwa k...

MAMBO 5 YA KUFANYA KWENYE MTANDAO KUWAFIKIA WATU WENGI NA KUUZA BIDHAA NYINGI

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi. Kama wewe ni mjasiriamali mwenye bidhaa au huduma nzuri lakini unashindwa kuwafikia watu wengi kwenye mtandao basi hakikisha unanipa macho na masikio yako kwani huenda makala hii ikawa moja ya makala muhimu utakayosoma mwaka huu. Kutokana na uzoefu wetu wa kutumia mtandao kwa miaka zaidi ya 6 kupata wateja, tumegundua kuna mambo 5 ukiyafanya vizuri basi utawafikia watu wengi na kuuza bidhaa nyingi sana. Mambo yenyewe ni : 1. Zingatia Ubora: Zingatia ubora Ukiwa unatoa bidhaa au huduma nzuri kwenye soko yenye kutatua matatizo ya wateja wako, basi utapata majeshi ya watu watakaokusaidia kusambaza ujumbe kuhusu bidhaa yako bila ya wewe kuwalipa chochote. Wajasiriamali wa Silicon Valley, Marekani wana msemo wao unaosema, The goal is to develop a product so good that customers will move the products for us before we consider marketing it. Yaani, Lengo ni ku...

BIASHARA YA JUICE

                       BIASHARA YA JUICE Biashara ya juice imekuwa maarufu sana nchini, kila sehemu wanauza juice ambazo zinafanana kwa kila kitu kinachotaufisha na majina ya ofisi zao. Kama unataka kuanzisha biashara ya juice anzisha tengeneza juice za aina mbili tu, moja iwe na mchanganyiko vitu mbalimbali kuleta radha na kurutubisho zaidi na kuvuta wateja wengi zaidi.   Mchanganyiko huo ni kama ufuatao A. MASTER JUICE 1. Muhogo 2. Karanga 3. Maziwa fresh Changanya kwa pamoja na weka kwenye BLENDER bila kuweka sukari wala maji, maziwa yanasimama badala ya maji. Mchanganyiko huu una virutubisho vingi sana vinavyo mwenzesha mtu kupata nguvu na kuongeza usharishaji mkubwa sana wa mbegu za kiume na kuongeza kiasi kikubwa za nguvu za kiume. B. TENDE & MAZIWA FRESH. Juice ya tende na maziwa pia unaongeza sana nguvu kwenye mwili na ku...

BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA

                      BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA Ukiwa kilimanjaro, meimoria ni sehemu maarufu sana kwa biashara especially mitumba. Watu wanatoka Arusha wanakuja kununua mitumba Meimoria. Memoria ni sehemu ambayo by experiece wanauza mitumba kwa bei chini sana campare na mikoa mingine, hii fursa kwasababu kama sehemu moja inauza vitu bei chini na sehemu nyingine wanauza bei juu, sijui kwann unalalamika maisha magumu wakati fursa ipo mkoani mwako. Kama kweli umeamua kufanya hii biashara na kubadilisha maisha yako kwa mtaji wa 100K tu , fanya yafuatayo: 1. Fungua Instagram Account na iwe Business Account. 2. Target mikoa ambayo bei ya mitumba iko juu mfano DODOMA. 3. Weka bei chini kwa kuwavuta wateja wengi ila usipate hasara. Siku zote angalia wingi wa watu usiangalie sana bei, bei ikiwa juu sana watz hawanunui ata kama mashuka yako ni mazuri. 4...

BIASHARA YA UDALALI WA NYUMBA

                        DALALI WA NYUMBA APP ya udalali wa nyumba, kila siku watu wana tafuta chumba au nyumba kwa lengo la kubadilisha madhari. Dalali wa nyumba au vyumba ni kazi sana kumpata kama unahamia sehemu ambayo wewe ni mgeni , madalali wengi ni gharama sana kuzungusha sehemu wewe unataka. Kuna changamoto kubwa sana kwenye kutafuta chumba au nyumba kwa kutafuta madalali na kupata chumba ambacho unataka pia ni changamoto kubwa na inachukua muda mrefu. APP ya udalali zipo lakini bado hazijatatua matatizo ya watu kupata chumba kirahisi, APP bado ina kuunganisha na madalali wa kukutafutia chumba.   APP ilipo bado haimpi mtu uwakika wa kupata chumba kwa wakati au anachokitaka. Suluhisho la tatizo la kutafuta chumba au vyumba ni kutengeneza APP ambayo inaongoza mpangaji na mwenye nyumba moja kwa moja na kuchangua chumba au nyumba viliivyopo kwa mwenye nyu...

BIASHARA YA STATIONARY

           BIASHARA YA STATIONARY Biashara ya stationary imekuwa maarufu sana tanzania nzima, wanaofanya wengi wanajua vitu ambavyo wengi wanajua ndo maana wanagawana wateja na baadhi ya waanzilishi wanashindwa na kufunga ofisi. Wengi wanafanya biashara hii kwa mazoea na sio kwa ubunifu na mwendelezo wa kujifunza zaidi na zaidi na kuwa bora kwenye kazi yake. Wengi hawajui kubuni kazi mpya zinazotokana na printing, wengi wanatumia PUBLISHER kutengeneza kadi n.k bila kujua kuna kitu kinaitwa ADOBE ILLUSTRATOR, ADOBE PHOTOSHOP, ADOBE FIREWORKS n.k ambazo ukitumia hizo software unatengeneza kadi ambazo utakuwa tofauti kabsa na wengine , ila watu wanapenda vitu virahisi ndo maana hatuon faida kwenye stationary baadae kufunga ofisi na kutafuta biashara zingine. Kama unataka kufanikiwa kwenye biashara ya stationary fuata hatua zifuatazo bila kuruka: 1. Penda kujifunza zaidi kuhusu huduma zitokanazo na printing. Usipenda r...

BIASHARA YA JUICE

                       BIASHARA YA JUICE Biashara ya juice imekuwa maarufu sana nchini, kila sehemu wanauza juice ambazo zinafanana kwa kila kitu kinachotaufisha na majina ya ofisi zao. Kama unataka kuanzisha biashara ya juice anzisha tengeneza juice za aina mbili tu, moja iwe na mchanganyiko vitu mbalimbali kuleta radha na kurutubisho zaidi na kuvuta wateja wengi zaidi.   Mchanganyiko huo ni kama ufuatao A. MASTER JUICE 1. Muhogo 2. Karanga 3. Maziwa fresh Changanya kwa pamoja na weka kwenye BLENDER bila kuweka sukari wala maji, maziwa yanasimama badala ya maji. Mchanganyiko huu una virutubisho vingi sana vinavyo mwenzesha mtu kupata nguvu na kuongeza usharishaji mkubwa sana wa mbegu za kiume na kuongeza kiasi kikubwa za nguvu za kiume. B. TENDE & MAZIWA FRESH. Juice ya tende na maziwa pia unaongeza sana nguvu kwenye mwili na ku...