COFFEE BODY & FACE SCRUB SCRUB YA KAHAWA _____________ MAHITAJI ____ 1.Unga wa kahawa 115gm 2. Sukari ya brown 115gm 3. Mafuta ya nazi/olive oil 65mls 4. Natural vanilla extract ¼ kijiko cha chai(sio lazima) 5. Vitamin E matone 3 6. G-acid powder vijiko 2 7. Rose water vijiko 2 8. Asali vijiko 3 vya chakula 9. rKay solutions vijiko 2 10. Mdalasini ya unga/manjano vijiko 2 11. Unga wa mchele kidogo. JINSI YA KUTENGENEZA ________________ 🔹Pima unga wa kahawa na sukari kisha changanya au koroga vizuri kwa muda wa dk 10 🔹Ongeza unga wa mchele uliochekechwa kisha changanya vizuri. 🔹Ongeza mafuta ya nazi au Olive oil na koroga vuzuri kwa dk 10 au zaidi ili upate mchanganyiko mlaini/soft 🔹Ongeza Vitamin E, Vanilla na mdalasini au manjano kisha koroga. 🔹Baada ya hapo ongeza rose water, G-acid powder na rKay solutions kisha koroga tena vizuri mpaka mchanganyiko wako uwe mlaini. NB: Ikiwa utapenda Scrub yako iwe l...
NYAMKA COLLECTION is a potential company aimed at Inspiring and motivating people to live life to the Fullest of its Potential. To provide basic education, skills and knowledge about Entrepreneurship that enable people to own their Dream life.