*NYAMKA ENTERPRISES ONLINE COLLEGE* tunakuletea mafunzo maalum ya *utengenezaji bidhaa za viwandani yatakayoanza tarehe 21-12-2020 hadi 03-01-2021
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/KVvV45capblHiq4nxwQVtf
_______
*ORODHA YA MASOMO TUFUNDISHAYO:*⬇
▶:SABUNI ZA MAJI NZITO (Multipulpose liquid Soap)-kanuni 4
▶:SABUNI ZA UNGA ( Detergent powder)
▶:SABUNI ZA MAGADI/KIGOMA AU GWANJI- Kanuni 2
▶:SABUNI ZA TIBA( Herbal Bar Soap)
🔹sabuni za mwarobaini
🔹Sabuni za Ukwaju
🔹Sabuni za Aloe Vera
🔹Sabuni za Kiazi
🔹Sabuni za Limao
🔹Sabuni za Sulfur
🔹Sabuni za Mchele
🔹Sabuni za Karoti
🔹Sabuni za Tango
🔹Sabuni za Mawese & Asali
🔹Sabuni za Manjano
🔹Sabuni za Mlonge
▶:TILES & SINK CLEANER (Disinfectant Liquid Soap)- Dawa ya chooni[ kanuni 2]
▶:SHAMPOO( Kanuni 2)
🔹Shampoo ya Tango
🔹Shampoo ya Aloevera
🔹Shampoo ya avocado/parachichi
🔹Shampoo ya Asali
▶:DAWA YA KUUWA WADUDU WANAOTAMBAA( Mende, kunguni n.k)- kanuni 2
▶:UTENGENEZAJI WA CHAKI
▶:UTENGENEZAJI WA MAFUTA.
🔹mafuta ya mgando(petroleum jelly)
🔹mafuta ya nazi( coconut oil)-kanuni 2
🔹mafuta ya Nyonyo( castor oil)
🔹mafuta ya asili ya kurefusha na kustawisha nywele
🔹mafuta ya Mbu
🔹Mafuta ya mgando ya nazi
▶:KITAKASA MIKONO( Hand sanitizer)
▶:RANGI NYEUSI YA VIATU( KIWI)
▶SCRUB YA KAHAWA
▶JINSI YA KUONDOA MICHIRIZI( Stretch Marks)
▶DAWA YA MADOA( JIKI )
▶MKAA MBADALA
▶JINSI YA KUSHONA MAZULIA( Carpet )
🔸Zulia la kiroba
🔸Zulia la pompom
🔸Zulia la wavu
▶UTENGENEZAJI WA MAKAPU YA PLASTIKI.
▶TAMBI ZA DENGU
▶KARANGA ZA MAYAI NA PENUT BUTTER
▶UBUYU WA ZANZIBAR
▶UTENGENEZAJI WA MISHUMAA
▶UTENGENEZAJI WA BARAFU( ICE- CREAM)
🔸barafu za maziwa
🔸barafu za Limao
🔸barafu za Embe na maziwa
🔸barafu za ukwaju na ndimu
🔸barafu za ubuyu
🔸barafu za Chocolate
🔸barafu za ukwaju
🔸barafu za Rangi 2
▶UTENGENEZAJI WA PILIPILI AINA 8 ZISIZO HARIBIKA.
🔸pilipili ya ukwaju
🔸pilipili ya embe
🔸pilipili ya karoti
🔸pilipili ya parachichi
🔸pilipili ya papai
🔸Achali ya maembe( ubuyu wa maembe)
🔸Tomato souce
🔸Mbilimbi
▶BATIKI AINA TOFAUTI TOFAUTI
▶JINSI YA KUSAJILI BIDHAA
▶JINSI YA KUSAJILI VIKUNDI/ VICOBA
▶MBINU ZA MASOKO.
_____________________
🏧Ada Tsh 3,000 tu, utasoma kwa videos, Audio na notes kupitia Magroup yetu ya watsap. Pia utafundishwa na WALIMU wazoefu wa bidhaa za viwandani.Masomo yataanza tarehe 21/12-03/01/2021
______KARIBUNI SANA___
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/KVvV45capblHiq4nxwQVtf
Comments
Post a Comment