Skip to main content

Posts

JINSI YA KUANZA BIASHARA NA MTAJI MDOGO

 🔰 JINSI YA KUANZA BIASHARA NA MTAJI MDOGO Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwanimtaji wao ni mdogo sana.Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimizamalengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” 👉 Zipo mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kukuwezesha kufanya biashara hata kama utakuwa namtaji mdogo. Tafadhali fuatilia hoja jadiliwa hapo chini kwa ufafanuzi zaidi. 1. Kuwa mbunifuMoja kati ya mambo ambayo yatakusaidia sana kwenye kuanza biashara kwa mtaji mdogo niubunifu. Kwa njia ya ubunifu utaweza kushinda biashara na bidhaa zilizoko sokoni kwa urahisizaidi. Unaweza kufanya haya yafuatayo: Chagua wazo la biashara unalolipenda na kuliweza vyema. Hili litakusaidia kukabili changamotovyema.   Angalia tatizo au uhitaji uliopo sasa na uutatue kwa bidhaa au huduma yako. Panga bei vizuri; unaweza kuweka bei ambayo ni tofauti kidogo na bidhaa au huduma ambazotayari ziko ...

JIFUNZE & UJIAJIRI TOLEO LA KWANZA

JIPATIE NAKALA YA KITABU CHETU CHA MUONGOZO WA NAMNA YA KUTENGENEZA BODY LOTION, CREAM, SERUM, FACE WASH NA SCRUB KWA GHARAMA YA TSH.10, 000/= TU. KITABU HIKI UTAKIPATA KWA MFUMO WA SOFT COPY. UTATUMIWA PUNDE TU BAADA YA KULIPIA KATIKA WATSAP YAKO AU EMAIL YAKO. GHARAMA ZA KITABU NI = 10, 000/= MAWASILIANO: 0748491485 AU 0782241723

UTENGENEZAJI WA BODY LOTION

 UTENGENEZAJI WA LOTION LOTION 👉MALIGHAFI 1.      Maji 20 lita (moto sana) 2.      USA ½ kg 3.      Plar 2 wax 0.25gm 4.      Citric acid 50gm 5.      Centrimide 100gm 6.      White oil 1 lita 7.      Glycerine 1 ½ kg 8.      Dye (wax oil) 15mls 9.      Perfume (Avocado 25mls)              UTENGENEZAJI 🔹Weka malighafi moja baada ya nyingine kulingana na mtiririko wako hapo juu. 🔹Koroga kuelekea upande mmoja bila kuacha. NB: Tofauti ya mafuta ya mgando na lotion.  Lotion hufanya ngozi iwe laini sana na unyevunyevu. -Ili iweze kuwa herbal lazima upate mafuta yam mea eg. 25mls. kama vile castor oil, coconut oil, almond oil, avocado oil n.k. Kwa mafunzo zaidi na jinsi ya kupata malighafi wasiliana nasi #watsap_0748491485

WAZO LA BIASHARA PART O2

 👉𝑰𝑳𝑰 𝑾𝑨𝒁𝑶 𝑳𝑨𝑲𝑶 𝑳𝑨 𝑩𝑰𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑨 𝑳𝑰𝑭𝑨𝑵𝑰𝑲𝑰𝑾𝑬 𝑽𝑰𝑻𝑼 𝑽𝒀𝑨 𝑲𝑼𝒁𝑰𝑵𝑮𝑨𝑻𝑰𝑨:        𝑷𝑨𝑹𝑻 2 Vitu vingine vya kuzingatia wakati unakuja na wazo lako la biashara. Yes unaweza fungua biashara kutokana na kitu unachokijua mfano Kinyozi ukafungua saluni yako au mpishi ukafungua restaurant yako. Kumbuka kwakua wewe ni mpishi mzuri sio kwamba utafahamu jinisi ya kuendesha restaurant yako vizuri. Kuna mambo mengi ya kuzingatia Kama unataka biashara endelevu make sure huduma au bidhaa unayouza wateja wako watarudi kwako tena. Inabidi uwe na bidhaa au huduma ambayo wateja wataendelea kununua kwa muda mrefu. Mfano ni bora uwe na kampuni ya kusafisha swimming pool kuliko kua na kampuni ya ujenzi wa pool. 🔹“Fanya kile unachopenda na pesa zitakufuata.”  Nafikiri ushawahi kusikia huu msemo. Mimi nitaweka msistizo tu sio kila unachokipenda kinaweza kua biashara yenye faida. Yes fanya unachokipenda but angalia kama kinaweza kua biashara y...

JINSI YA KUJA NA WAZO ZURI LA BIASHARA PART 1

 👉𝑱𝑰𝑵𝑺𝑰 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑱𝑨 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝒁𝑶 𝒁𝑼𝑹𝑰 𝑳𝑨 𝑩𝑰𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑨.  Ili kuweza kufanikiwa kwenye biashara unahitaji kuwa na wazo zuri la biashara. Je unajua jinsi ya kupata wazo hilo zuri la biashara?                𝑷𝑨𝑹𝑻 1 Watu wengi wamekuwa wakiniomba ushauri ni wazo gani zuri la biashara ambalo linaweza kuwapatia faida na mafanikio. Ukweli ni kwamba wazo ambalo ni bora kwa mtu fulani linaweza lisiwe bora kwako. Moja ya sababu zinazofanya biashara nyingi kufa au kutokuendelea ni kuiga, yaani mtu akianza biashara leo baada ya muda unakuta watu wengine wameiga biashara ile ile, wanaifanya eneo lile lile na kwa mbinu zile zile. Hii ni njia rahisi sana ya kushindwa kwenye biashara. Kuja na wazo la biashara kuna mambo mengi sana ya kuzingatia, hii ni pamoja na upo eneo gani, mkoa gani, elimu yako, watu waliokuzunguka, ujuzi, umri wako, muda, mtaji, resources, njaa yako, kiu ya kufanikiwa, connection, etc Hivyo hakuna formula moja...

COFEE BODY & FACE SCRUB

                  COFFEE BODY & FACE SCRUB SCRUB YA KAHAWA _____________ MAHITAJI ____ 1.Unga wa kahawa 115gm 2. Sukari ya brown 115gm 3. Mafuta ya nazi/olive oil 65mls 4. Natural vanilla extract ¼ kijiko cha chai(sio lazima) 5. Vitamin E matone 3 6. G-acid powder vijiko 2 7. Rose water vijiko 2 8. Asali vijiko 3 vya chakula 9. rKay solutions vijiko 2  10. Mdalasini ya unga/manjano vijiko 2 11. Unga wa mchele kidogo. JINSI YA KUTENGENEZA ________________ 🔹Pima unga wa kahawa na sukari kisha changanya au koroga vizuri kwa muda wa dk 10 🔹Ongeza unga wa mchele uliochekechwa kisha changanya vizuri. 🔹Ongeza mafuta ya nazi au Olive oil na koroga vuzuri kwa dk 10 au zaidi ili upate mchanganyiko mlaini/soft 🔹Ongeza Vitamin E,  Vanilla na mdalasini au manjano kisha koroga. 🔹Baada ya hapo ongeza rose water, G-acid powder na rKay solutions kisha koroga tena vizuri mpaka mchanganyiko wako uwe mlaini. NB: Ikiwa utapenda Scrub yako iwe l...

JINSI YA KUTENGENEZA HAIR SHAMPOO

 ▶ HAIR SHAMPOO◀ _______________________ Hii ni sabuni ambayo imebuniwa kwa ajili ya kusafishia nywele hata kama zimekaa muda mrefu bila kusafishwa. Hufanya nywele ziwe safi, huondoa uchafu na kuua wadudu walioko kwenye nywele na huondoa mba kwenye nywele. Hapa tutajifunza aina tofauti tofauti za shampoo zikiwemo zenye virutubisho vya matunda na mimea. ▶ SHAMPOO YA NYWELE NZITO NA BORA. 👉MALIGHAFI. 🔸Sless – 1kg. 🔸Cde – 250gm. 🔸Gryceline – vijiko vitano vya chakula (50ml). 🔸Chumvi -500gm. 🔸Rangi – 5gm. 🔸Perfume – 5gm. 🔸Formaline /citric acid – vijiko 3. 🔸Tigna – 125gm. 🔸Maji – 25lt. 👉VIFAA. 🔹Mwiko. 🔹Beseni. 🔹Mask. 🔹Miwani. 🔹Koti. ▶JINSI YA KIUTENGENEZA◀ 1⃣Andaa maji lita 12 kisha tia humo tigna na koroga hadi upate uji mzito kisha weka kando. 2⃣Chukua sless koroga ndani ya maji lita 12 hadi iyeyuke kabisa kisha weka kando. 3⃣Chukua maji nusu lita korogea humo chumvi 500gm hadi iyeyuke yote kisha weka kando.  4⃣Chukua maji robo lita  tia  rangi na korog...