🔰 JINSI YA KUANZA BIASHARA NA MTAJI MDOGO
Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwanimtaji wao ni mdogo sana.Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimizamalengo yako.
“Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.”
👉 Zipo mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kukuwezesha kufanya biashara hata kama utakuwa namtaji mdogo. Tafadhali fuatilia hoja jadiliwa hapo chini kwa ufafanuzi zaidi.
1. Kuwa mbunifuMoja kati ya mambo ambayo yatakusaidia sana kwenye kuanza biashara kwa mtaji mdogo niubunifu. Kwa njia ya ubunifu utaweza kushinda biashara na bidhaa zilizoko sokoni kwa urahisizaidi. Unaweza kufanya haya yafuatayo:
Chagua wazo la biashara unalolipenda na kuliweza vyema. Hili litakusaidia kukabili changamotovyema.
Angalia tatizo au uhitaji uliopo sasa na uutatue kwa bidhaa au huduma yako.
Panga bei vizuri; unaweza kuweka bei ambayo ni tofauti kidogo na bidhaa au huduma ambazotayari ziko sokoni ili uwavutie wateja.Kwa kufanya mambo yaliyoelezwa hapa juu utaweza kukuza biashara na mtaji wako kwa mudamfupi zaidi.
2. Anza na unachokijuaUnapokuwa na mtaji mdogo huhitaji kuhusisha mambo mengi mageni au yanayotegemea sanawatu wengine kwa kuwa huna pesa za kuyagaramia.
Comments
Post a Comment