Skip to main content

JUICE INAYOFAA KWA WENYE UZITO MKUBWA


         JUICE KWA WENYE UZITO MKUBWA

Wengi wana tengeneza juice za kawaida ambazo anaweza kunywa mtu yoyote yule lakini wakinywa watu wenye uzito mkubwa , uzito unaongezeka kwasababu juice nyingi zinawekwa sukari nyingi na sukari ndio inayoongeza uzito kwenye mwili.



Binafsi nimefanya utafiti nimegundua kwamba kuna baadhi ya mchanganyiko wa matunda bila sukari inasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza kabisa uzito kwa muda mfupi.



Unaweza kuchukua changamoto hii kwa watu wenye uzito mkubwa ukaifanya kuwa FURSA YA BIASHARA kwako, kwa kuwa tengenezea juice ya mchanganyiko wa matunda ambayo yatasaidia kupunguza uzito mkubwa.



Juice ya matunda na mboga za majani husaidia kupunguza uzito mkubwa  kwa muda mfupi; Ifuatayo ni mchanganyiko wa juice nya matunda na mboga za majani inayosaidia kupunguza uzito mkubwa mwilini:



Juice ya Carrot



Changanya carrot, apple na nusu chungwa pamoja na tangawizi kupata radha nzuri inayovutia mdomoni pamoja na kusaidia kutoa sumu yote mwilini.Juice ya carrot inasaidia sana kupunguza uzito kwa haraka kwasababu ina calories kidogo na ina fibers nyingi.

Juice ya Tango



Tango  asili yake ni kusheheni maji mengi na kuwa na calories kidogo.Kihalisia ukitaka kupunguza uzito inakulazimu kuwa vyakula vyenye calories kidogo au kuchuma calories nyingi mwilini kwa kufanya mazoezi kila siku.

Kwa kuwa tango lenye lemesheheni maji mengi pamoja na fibers nyingi , kwahiyo inasaidia vizuri mmeng’enyo wa chakula kirahisi zaidi.Pia unaweza ukaongeza limao kidogo pamoja na karafuu kupata radha pamoja na kuongeza msukumo kubwa wa kuchanganyaji wa chakula kuwa rahisi zaidi.







Juice ya Komamanga



Komamanga inasaidia sana ngozi pamoja na ukuaji wake kiasili, pia komamanga inasaidia kupunguza uzito.Komamanga ina utajiri wa antioxidants, polyphenols and conjugated linolenic acid. Vyote hivi usaidia kuchoma mafuta mwilini na kuongeza spidi ya kuchakata virutubisho mwilini.

Juice ya machungwa



Machungwa yana kizana sana na wingi wa calories mwilini, unavyo kunywa zaidi juice ya machungwa ndivyo unavyo kupunguza wingi wa calories mwilini, unavyo punguza calories mwilini ndivyo unavyo punguza mwili.

Juice ya Nanasi



Nanasi inaminika kuwa ndio tunda pekee linadili na kupunguza mafuta mwilini.Kwenye nanasi kuna kirutubisho kinaitwa “bromelain” ambacho kinapatikana kwenye nanasi pekee.Kirutubisho hicho kinasaidia mchakato wa protein kuchoma mafuta mengi sana tumboni.Tabia hii inapatikana pia kwenye juice ya machungwa ambao inachuma calories nyingi kuliko mwili unavyochoma bila kunywa juice ya machungwa au nanasi.



Juice ya Tikiti



Juice ya Cabbage



Unaweza ukachagua kati hizo juu ili zote zina kazi moja ya kupunguza uzito, unaweza ukaweka zote kwa wateja kubadilisha radha , pia usisahau kuweka tangawizi kwenye kila juice ili kuongeza radha zaidi na spidi ya kuchakata chakula kwa mtu alishiba sana.



Tafuta sehemu nzuri ya kufungua biashara yako, pia usisahau kuwa na instagram akaunti kwa ajili ya matangazo yako ya biashara ili watu wengi wapate kujua vizuri biashara yako na kuwabadilisha kuwa wateja wako wa kudumu.



“Huwezi punguza uzito kwa visingizo”

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI ( MULTI PURPOSE LIQUID SOAP)

*🛑VIFAA MAMA KTK SABUNI YA MAJI*👇🏻ni hivi ndio vinafanya iitwe  sabuni 👇🏻 *Sulphonic acid* *Sless* *Rangi* *Chumvi.* *Manukato* *👉Sulphonic acid* kazi yake kubwa ni kuondoa uchafu wa mahali wakati unatumia sabuni, pia inaongeza uzito na povu ktk sabuni yetu, sulphonic acid ikizidishwa ktk sabuni huleta mchubuko wa mikono kea mtumiaji. *👉Manukato-* kwaajili ya harufu. *👉Sless( ungarol)* Kai yake ni kuleta povu, kuongeza uzito, na pia huondoa uchafu wa mahali wakati unapotumia sabuni. *👉Rangi* Kuleta rangi ya sabuni pekee. *👉Chumvi* Huongeza uzito ktk sabuni, hutunza sabuni isiharibike, pia ikizidishwa hukata sabuni na kuifanya iwe nyepesi Kama maji na kuisha povu. *🛑Hivi ndio👆🏽 vifaa mama ktk utengenezaji was sabuni ya maji* *🛑Vifaa vya nyongeza👇🏻* *📚 Gryselin-* kazi yake kubwa ni kulainisha sabuni na kuzuia michubuko ya ngozi kwa mtumiaji wa sabuni hiyo. *📚 Formaline-* kazi ya yake kutunza sabuni isiharibike, ila formaline ...

JINSI YA KUTENGENEZA HAIR SHAMPOO

 ▶ HAIR SHAMPOO◀ _______________________ Hii ni sabuni ambayo imebuniwa kwa ajili ya kusafishia nywele hata kama zimekaa muda mrefu bila kusafishwa. Hufanya nywele ziwe safi, huondoa uchafu na kuua wadudu walioko kwenye nywele na huondoa mba kwenye nywele. Hapa tutajifunza aina tofauti tofauti za shampoo zikiwemo zenye virutubisho vya matunda na mimea. ▶ SHAMPOO YA NYWELE NZITO NA BORA. 👉MALIGHAFI. 🔸Sless – 1kg. 🔸Cde – 250gm. 🔸Gryceline – vijiko vitano vya chakula (50ml). 🔸Chumvi -500gm. 🔸Rangi – 5gm. 🔸Perfume – 5gm. 🔸Formaline /citric acid – vijiko 3. 🔸Tigna – 125gm. 🔸Maji – 25lt. 👉VIFAA. 🔹Mwiko. 🔹Beseni. 🔹Mask. 🔹Miwani. 🔹Koti. ▶JINSI YA KIUTENGENEZA◀ 1⃣Andaa maji lita 12 kisha tia humo tigna na koroga hadi upate uji mzito kisha weka kando. 2⃣Chukua sless koroga ndani ya maji lita 12 hadi iyeyuke kabisa kisha weka kando. 3⃣Chukua maji nusu lita korogea humo chumvi 500gm hadi iyeyuke yote kisha weka kando.  4⃣Chukua maji robo lita  tia  rangi na korog...

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI/KIGOMA/GWANJI

Jinsi ya kutengeneza Sabuni ya magadi( gwanji)ama Sabuni ya kigoma. MAHITAJI Caustic Soda kilo 3 Mafuta ya mawese lita 20 Sodium Silicate Maji lita 10 Rangi ya bluu vijiko 3 Jinsi ya kutengeneza. 1)Chukuwa coustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24 2)Chukuwa kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa 3)Chukuwa coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja 4)Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizur ...