WAZO LA BIASHARA
HAUNA MTAJI????...FANYA HIVI..!!
Unajua kuna kazi nyingi ambazo mtu utaweza Kujiajiri mwenyewe na mtaji wako mkubwa ni MAARIFA /SKILLS!!...wala ata hauhitaji PESA KUANZA BIASHARA.....ila kwakuwa una maarifa ya ilo jambo bhas u aweza tumia Ujuzi wako Kutengeneza Pesa!!
Mojawapo ni GRAPHICS DESIGNING / GRAPHICS DESIGNER
Hivi unahitaji Pesa kuwa Graphics Designer????....Sio kweli.....
Mimi nina rafiki yangu namfahamu alijifunza GRAPHICS DESIGNING Kupitia Youtube na saivi anatengeneza zaidi ya LAKI.1 kwa week....!! Tena ni kazi anayoifanya as a part time uku akiwa na kazi nyingine......
Hapa nazungumzia Anatengeneza LOGO, POSTERS, Business Cards, Covers na ana EDIT PICHA ZA WATU kwa pesa, Ana-EDIT VIDEOS na anatengeneza hadi KATUNI /ANIMATIONS.......na Matangazo mengine mbali mbali.... !!
KWANZA TAMBUA MAMBO HAYA.. FAIDA ZA KUJIFUNZA GRAPHICS DESIGNING!!....
🔰 Ukiwa Grapgics Designer , unaweza Kujiajiri.....Na Ukafanikiwa kabisa kulingana na juhudi na ubunifu wa kazi zako
🔰 Ukishajua Graphics, ni rahisi sana Kutengeneza Pesa kupitia Online kwenye platforms kama AGORA....., SHUTTER STOCK na pia utaweza tengeneza Contents za kuvutia Youtube....humu ni sehemu ambapo unaweza uza kazi zako,
🔰 Kila kampuni hapa Duniani inahitaji Graphics Designer...yani ni skills ambayo ukiwa nayo ni marketable.....kama ni Ajira....AJIRA ZIPO SANA za graphics designers
Ata kama umesomea kozi gani, lakini ukiwa na Additional skill kama hiyo..bhasi wewe jua sio tena Ordinary...ni extra!!
🔰 Mbali na makampuni kuwahitaji hawa ma-graphics designers.....PIA WATU BINAFSI wanawahitaji sana.....yan ata marafiki zako, wakitaka kuanzizha Biashara zao au Events au Projects zao...LAZIMA WATAKUTAFUTA TUH 😀😀
Sasa Unatakiwa Kufanya nini...kuanza kujifunza??...
1. Kwanza Weka nia, muda na Malengo kwamba utaweza kujifunza
2. Kabla ya kuanza kula VIDEO TUTORIALS ZA YOUTUBE....Embu fanya kumtafuta Mkali yoyote yule unayemfahamu ili akupe Basics kwanza...muongozo!!!...Atakusaidia kufahamu .....baadhi ya Adobe softwares unazotakiwa kuwa nazo na programmes zingine n.k
3. Zama sasa Youtube kupiga darasa.......kuna Videos nyingi wanaelekeza kozi nzima.....JINSI YA KUTUMIA ADOBE kutengeneza Logo, kutengeneza Posters, Ku Edit picha , Ku edit Videos n.k
3. Anza ku practice na kuwa mtundu sana katika kukuza Ubunifu wake....
HAKIKA UKIANZA LEO....BAADA YA MIEZI MITATU!!BHAS HAUTAKUWA KAMA LEO!!!
▶ HAIR SHAMPOO◀ _______________________ Hii ni sabuni ambayo imebuniwa kwa ajili ya kusafishia nywele hata kama zimekaa muda mrefu bila kusafishwa. Hufanya nywele ziwe safi, huondoa uchafu na kuua wadudu walioko kwenye nywele na huondoa mba kwenye nywele. Hapa tutajifunza aina tofauti tofauti za shampoo zikiwemo zenye virutubisho vya matunda na mimea. ▶ SHAMPOO YA NYWELE NZITO NA BORA. 👉MALIGHAFI. 🔸Sless – 1kg. 🔸Cde – 250gm. 🔸Gryceline – vijiko vitano vya chakula (50ml). 🔸Chumvi -500gm. 🔸Rangi – 5gm. 🔸Perfume – 5gm. 🔸Formaline /citric acid – vijiko 3. 🔸Tigna – 125gm. 🔸Maji – 25lt. 👉VIFAA. 🔹Mwiko. 🔹Beseni. 🔹Mask. 🔹Miwani. 🔹Koti. ▶JINSI YA KIUTENGENEZA◀ 1⃣Andaa maji lita 12 kisha tia humo tigna na koroga hadi upate uji mzito kisha weka kando. 2⃣Chukua sless koroga ndani ya maji lita 12 hadi iyeyuke kabisa kisha weka kando. 3⃣Chukua maji nusu lita korogea humo chumvi 500gm hadi iyeyuke yote kisha weka kando. 4⃣Chukua maji robo lita tia rangi na koroga vizuri kisha wek
Asante sana umenifungua vya kutosha kabisa.
ReplyDeleteNipo Graphics Art and Printing
Ila nawaza Kusoma Graphics design
He,itanisaidia!
Safi sana kwa maelezo haya. Binafsi nimetumia TUTORIAL zaidi ya 200. Pia, vitabu 19 vya Graphic Design. Hata hivyo bado napenda kujifunza, ingawa pesa ni ya manati, natumaini nitafanya vema.
ReplyDeletelakini pesa inaitajika pale pale
ReplyDeletehuna computer yenye uwezo mzuri wa graphics
huna Kifaa cha internet
Hivi vitu vinatumia pesa kwanza na hakuna jambo la hela ukapata bure
ukitaka mshikaji akupe muongozo wa fani jua atakupa kwa kiasi chake na kwa muda wake
Hiyo agora shutter stock inahusiana na nin maana nimeinaglia cja ielwa naomba maelkzo kdg please
ReplyDeleteThat's great,, Kama Kuna mtu ako na idea zaid ya hii kitu anaweza kushare nasisi
ReplyDelete