Skip to main content

Posts

FURSA KUTOKA KALYNDA E-COMMERCE

 https://www.kalynda-e-commerce.com/#/register/index?code=414651177648 HELLO  TANZANIA,  WELCOME KALYNDA. A FREE PART TIME JOB DEVELOPER TO ADD DAYLY PERSONAL INCOME. NB: SMS hii sio ushauri wa mambo ya kifedha Bali ni kwaajili ya kuonesha fursa zilizopo Nchini kwa atakaye hitajia basi azitafiti na akipata ithibati ya kisheria basi azitumie hizo fursa kwaajili ya kuinua kipato chake. HHII NI KALYNDA PLATFORM.  ๐Ÿ‘‰JINSI ILIVYO NA INAVYO FANYA KAZI. ๐Ÿ‘‰ Ajiira zake zipoje na wanaajiri kwa vigezo vipi. ๐Ÿ‘‰Mifumo yao ya malipo ya KUTWA inafanyaje kazi.     ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธKALYNDA E-COMMERNCE CAMPANY LIMITED  https://www.kalynda-e-commerce.com/#/register/index?code=414651177648  ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ ๐Ÿ‘‰Kalynda Ni kampuni ambayo imeanzishwa nchini TANZANIA, Mwaka huu 2022.   ๐Ÿ‘‰Makao makuu ya kampuni  yapo Dar-es- salaam ,,KINONDONIMANICIPAL COUNCIL,MSASANI ,KAUNDA DRIVE STREET . ๐Ÿ‘‰ Kampuni MESAJILIWA na BRELA KWA MUJIBU WA SHERIA YA TANZANIA  kwa Namba za usajili  156483877.  ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ     ๐Ÿซด๐ŸซดINAFANYAJE KAZI??AU IN
Recent posts

BIASHARA YA STATIONERY

 Biashara ya Stationary Biashara ya stationary imekuwa maarufu sana tanzania nzima, wanaofanya wengi wanajua vitu ambavyo wengi wanajua ndo maana wanagawana wateja na baadhi ya waanzilishi wanashindwa na kufunga ofisi. Wengi wanafanya biashara hii kwa mazoea na sio kwa ubunifu na mwendelezo wa kujifunza zaidi na zaidi na kuwa bora kwenye kazi yake. Wengi hawajui kubuni kazi mpya zinazotokana na printing, wengi wanatumia PUBLISHER kutengeneza kadi n.k bila kujua kuna kitu kinaitwa ADOBE ILLUSTRATOR, ADOBE PHOTOSHOP, ADOBE FIREWORKS n.k ambazo ukitumia hizo software unatengeneza kadi ambazo utakuwa tofauti kabsa na wengine , ila watu wanapenda vitu virahisi ndo maana hatuon faida kwenye stationary baadae kufunga ofisi na kutafuta biashara zingine. Kama unataka kufanikiwa kwenye biashara ya stationary fuata hatua zifuatazo bila kuruka: 1. Penda kujifunza zaidi kuhusu huduma zitokanazo na printing. Usipenda rahisi kutoka publisher wengi wanafanya na kufanya wateja wasione utofauti na kwend

JINSI YA KUANZA BIASHARA NA MTAJI MDOGO

 ๐Ÿ”ฐ JINSI YA KUANZA BIASHARA NA MTAJI MDOGO Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwanimtaji wao ni mdogo sana.Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimizamalengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” ๐Ÿ‘‰ Zipo mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kukuwezesha kufanya biashara hata kama utakuwa namtaji mdogo. Tafadhali fuatilia hoja jadiliwa hapo chini kwa ufafanuzi zaidi. 1. Kuwa mbunifuMoja kati ya mambo ambayo yatakusaidia sana kwenye kuanza biashara kwa mtaji mdogo niubunifu. Kwa njia ya ubunifu utaweza kushinda biashara na bidhaa zilizoko sokoni kwa urahisizaidi. Unaweza kufanya haya yafuatayo: Chagua wazo la biashara unalolipenda na kuliweza vyema. Hili litakusaidia kukabili changamotovyema.   Angalia tatizo au uhitaji uliopo sasa na uutatue kwa bidhaa au huduma yako. Panga bei vizuri; unaweza kuweka bei ambayo ni tofauti kidogo na bidhaa au huduma ambazotayari ziko sokoni il

JIFUNZE & UJIAJIRI TOLEO LA KWANZA

JIPATIE NAKALA YA KITABU CHETU CHA MUONGOZO WA NAMNA YA KUTENGENEZA BODY LOTION, CREAM, SERUM, FACE WASH NA SCRUB KWA GHARAMA YA TSH.10, 000/= TU. KITABU HIKI UTAKIPATA KWA MFUMO WA SOFT COPY. UTATUMIWA PUNDE TU BAADA YA KULIPIA KATIKA WATSAP YAKO AU EMAIL YAKO. GHARAMA ZA KITABU NI = 10, 000/= MAWASILIANO: 0748491485 AU 0782241723

UTENGENEZAJI WA BODY LOTION

 UTENGENEZAJI WA LOTION LOTION ๐Ÿ‘‰MALIGHAFI 1.      Maji 20 lita (moto sana) 2.      USA ½ kg 3.      Plar 2 wax 0.25gm 4.      Citric acid 50gm 5.      Centrimide 100gm 6.      White oil 1 lita 7.      Glycerine 1 ½ kg 8.      Dye (wax oil) 15mls 9.      Perfume (Avocado 25mls)              UTENGENEZAJI ๐Ÿ”นWeka malighafi moja baada ya nyingine kulingana na mtiririko wako hapo juu. ๐Ÿ”นKoroga kuelekea upande mmoja bila kuacha. NB: Tofauti ya mafuta ya mgando na lotion.  Lotion hufanya ngozi iwe laini sana na unyevunyevu. -Ili iweze kuwa herbal lazima upate mafuta yam mea eg. 25mls. kama vile castor oil, coconut oil, almond oil, avocado oil n.k. Kwa mafunzo zaidi na jinsi ya kupata malighafi wasiliana nasi #watsap_0748491485

WAZO LA BIASHARA PART O2

 ๐Ÿ‘‰๐‘ฐ๐‘ณ๐‘ฐ ๐‘พ๐‘จ๐’๐‘ถ ๐‘ณ๐‘จ๐‘ฒ๐‘ถ ๐‘ณ๐‘จ ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘จ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘จ ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ญ๐‘จ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘พ๐‘ฌ ๐‘ฝ๐‘ฐ๐‘ป๐‘ผ ๐‘ฝ๐’€๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐’๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘จ:        ๐‘ท๐‘จ๐‘น๐‘ป 2 Vitu vingine vya kuzingatia wakati unakuja na wazo lako la biashara. Yes unaweza fungua biashara kutokana na kitu unachokijua mfano Kinyozi ukafungua saluni yako au mpishi ukafungua restaurant yako. Kumbuka kwakua wewe ni mpishi mzuri sio kwamba utafahamu jinisi ya kuendesha restaurant yako vizuri. Kuna mambo mengi ya kuzingatia Kama unataka biashara endelevu make sure huduma au bidhaa unayouza wateja wako watarudi kwako tena. Inabidi uwe na bidhaa au huduma ambayo wateja wataendelea kununua kwa muda mrefu. Mfano ni bora uwe na kampuni ya kusafisha swimming pool kuliko kua na kampuni ya ujenzi wa pool. ๐Ÿ”น“Fanya kile unachopenda na pesa zitakufuata.”  Nafikiri ushawahi kusikia huu msemo. Mimi nitaweka msistizo tu sio kila unachokipenda kinaweza kua biashara yenye faida. Yes fanya unachokipenda but angalia kama kinaweza kua biashara yenye faida. Kanuni mojawapo y

JINSI YA KUJA NA WAZO ZURI LA BIASHARA PART 1

 ๐Ÿ‘‰๐‘ฑ๐‘ฐ๐‘ต๐‘บ๐‘ฐ ๐’€๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ฑ๐‘จ ๐‘ต๐‘จ ๐‘พ๐‘จ๐’๐‘ถ ๐’๐‘ผ๐‘น๐‘ฐ ๐‘ณ๐‘จ ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘จ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘จ.  Ili kuweza kufanikiwa kwenye biashara unahitaji kuwa na wazo zuri la biashara. Je unajua jinsi ya kupata wazo hilo zuri la biashara?                ๐‘ท๐‘จ๐‘น๐‘ป 1 Watu wengi wamekuwa wakiniomba ushauri ni wazo gani zuri la biashara ambalo linaweza kuwapatia faida na mafanikio. Ukweli ni kwamba wazo ambalo ni bora kwa mtu fulani linaweza lisiwe bora kwako. Moja ya sababu zinazofanya biashara nyingi kufa au kutokuendelea ni kuiga, yaani mtu akianza biashara leo baada ya muda unakuta watu wengine wameiga biashara ile ile, wanaifanya eneo lile lile na kwa mbinu zile zile. Hii ni njia rahisi sana ya kushindwa kwenye biashara. Kuja na wazo la biashara kuna mambo mengi sana ya kuzingatia, hii ni pamoja na upo eneo gani, mkoa gani, elimu yako, watu waliokuzunguka, ujuzi, umri wako, muda, mtaji, resources, njaa yako, kiu ya kufanikiwa, connection, etc Hivyo hakuna formula moja ambayo utatumia. Hapa chini nimejaribu tu kukupa