Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2021

JUICE YA MAGANDA YA NANASI

 ▶FAIDA ZA JUICE YA MAGANDA YA NANASI NA JINSI YA KUIANDAA KAMA TIBA. _____________________________ NANASI ni tunda lenye ladha nzuri. Mbali na kutumika kama tunda ama juisi yake kutumika kama kinywaji, tunda la nanasi lina faida mbalimbali kwa afya ya mwanadamu. Baadhi ya faida hizo ni pamoja na : ____________________________ i. UTAJIRI WA VITAMINI NA MADINI : Nanasi ina vitamini A,B na C na pia ina madini ya chuma, calcium, copper na phosphorous ambayo yote ni muhimu sana katika afya ya mwanadamu. ii. Tunda hili husaidia kutengeneza damu iii. Nanasi husaidia kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli (muscles). iv. Tunda la nanasi hutibu matatizo ya tumbo. v. Hutibu matatizo ya Bandama vi. Hutibu matatizo ya Ini vii. Husaidia kusafisha Utumbo mwembamba viii. Husaidia kutibu Homa ix. Husaidia kutibu Vidonda mdomoni x. Husaidia kutibu Magonjwa ya koo xi. Husaidia kutibu tatizo la Kupoteza kumbukumbu xii. Husaidia kutibu maradhi ya akili Kukosa mori (low spirit) xiii. Husaidia kutibu Kiko

UANDAAJI WA BARAFU ZA MAZIWA

 ▶UANDAAJI WA BARAFU ZA MAZIWA _______________ 👉MAHITAJI 🔹CMC 60gm 🔹Maziwa lita 5 🔹Maji lita 5 🔹Sukari 2kg 🔹Rangi vijiko 2 🔹Radha vijiko 2 👉UTENGENEZAJI/UANDAAJI ___________ 1. Weka sukari katika sufuria changanya na CMC. Changanya vizuri kwani cmc ina tabia ya kujifunga. 2.Tia maji na koroga vizuri. Baada ya hapo weka maziwa yako lita tano na weka jikoni yachemke. 3.Baada ya hapo epua na acha yapoe. 4.Kisha chuja vizuri mchanganyiko wako 5. Kisha weka rangi na radha uipendayo kisha koroga vizuri. 6. Kisha anza kupaki katika vifuko au vikopo. 7. Weka katika friji ili zigande tayari kwa matumizi.

BIASHARA YA JUICE KWA MTAJI MDOGO

 Biashara ya juice ya NANASI + TENDE + NDIMI + TANGAWIZI + ILIKI. NO SUGAR Location: USWAZI MTAJI : 12,000 Ukiweza kuwafurahisha maskini kwa kuwauzia hii juice kwa bei ya chini, tegemea pesa kukufuata kwasababu imeitegenezea njia ije kwako. "Hakuna kitu kigumu katika dunia dhaifu kama kufikiri, pia hakuna kazi yenye mshahara mkubwa kama kufikiri". Mwaka huu jifunze kufikiri vizuri ili ubadilishe maisha yako, kwa kusaidia kuboresha afya za watu wengi wenye pesa kidogo ambao hawezi kuisha kwa gharama siku zote. Kuwa wa kwanza kutatua changamoto za afya zao  kwa kuwapelekea juice yenye virutubisho bora na kusaidia kuboresha afya zao na kupata matokeo mazuri. Haya yote yanahitaji fikra nzuri yenye kuona matatizo ya watu wengi na kutatua. Kiuhalisia hii juice ni ghali sana kwa muonekano kutokana upatikanaji wa bidhaa, ila wewe kuwa wa kwanza kufirikia maskini. Kwenye fikra yako uwe na hii slogan "MASKIN KWANZA", kwa kila biashara unayotaka kuanza kuifanya fikiria maskini