Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2020

MAMBO 5 MUHIMU YA KUZINGATIA KTK KUCHAGUA ENEO LA BIASHARA

MAMBO 5 MUHIMU YA KUZINGATIA KUCHAGUA ENEO LA BIASHARA Happy new month wapambanaji. Kama mnavyoona ni mwezi wa 3, siku zinakimbia hatari. Hope mna work hard and smart kutimiza malengo mliyo jiwekea kabla mwaka haujaisha. Leo nitaongelea kitu kimoja muhimu sana kwa mjasiriamali kufahamu. Ni muhimu kuchagua vizuri eneo au mahali utakapo fanyia Biashara; Kama unavyo jua lengo la Biashara ni kuuza ili upate pesa. Na ili uuze unahitaji watu/ wateja hivyo hakikisha. 1- unachagua eneo utakalo fanyia biashara lina watu wengi wa kutosha, kiasi kwamba utaweza kuuza zaidi na Kwa haraka. Sababu mauzo ya kuwa chini na mzunguko wa Biashara ukiwa mdogo, Biashara itakufa. . 👇🏿 2- chagua eneo ambalo ni salama kwako na kwa wateja wako, usiweke Biashara yako eneo ambalo lina matukio ya uhalifu, Wizi, ujambazi nk mali zako hakitakuwa salama pia wateja wata ogopa kuja. . 👇🏿 3- kodi ya pango, chukua frem ambayo una hakika ni nafuu kwako, kwamba kwa mauzo ya biashara yako utaweza kulipa kodi B

IJUE BIASHARA YA VITENGE

BIASHARA YA VITENGE ⚡️ Inahitaji uwe na wateja wengi (mzunguko wa biashara uwe mkubwa) sababu faida ya vitenge sio kubwa kivile, unahitaji upate wateja wengi uweze kupata faida kubwa (mauzo yawe juu) ⚡️ Tafuta eneo la biashara ambalo wateja wake wanajielewa, lina watu wengi na uza vitu quality bei iwe affordable isimuumize Mteja na wewe upate faida. ⚡️ Jua kuchagua vitenge venye rangi nzuri na vinavyo trend lakini kumbuka kuweka vitenge aina nyingi Mteja awe na choice kubwa. ⚡️ Uwe mchakarikaji, tangaza biashara yako na tafuta wateja, wape wateja wako huduma nzuri ili warudi tena. ⚡️ Usikopeshe, km nilivyo sema faida ni ndogo, ukikopesha hela itakuwa imelala nje, vyote faida na mtaji, biashara hii ni cash tu. ⚡️ Mwanzo ni mgumu usiwe mwepesi kukata tamaa, lazima uwe unatafiti na kujifunza mbinu mpya kila siku, kuboresha biashara yako. ⚡️ Tafuta mafundi nguo wazuri wa kushirikiana nao, wateja ukiwapeleka kwa Fundi akawashonea nguo zao Vizuri wakependeza, kesho atarudi kunu

NJIA ZA KUPATA MTAJI

Fahamu Njia 8 Unazoweza Kuzitumia ili Kupata Mtaji  by nyamka adam Washirikishe Wengine Makala Hii: Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri lakini sina mtaji? Haya ni maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa sana na wasomaji wa Fahamuhili.com, pamoja na watu wengi ninaokutana nao kwenye maisha ya kila siku. Kutokana na sababu hii, nimeona ni vyema niandae makala ambayo itajibu maswali ya wasomaji wangu pamoja na wale wote wenye maswali kama haya. Ingawa mtaji siyo kigezo pekee cha kufanikiwa kwenye biashara au mradi unaoufanya, mtaji unabaki kuwa kiungo muhimu sana katika kutekeleza wazo fulani au mradi kwa ufanisi. Kwa kuwa watu wengi huanzisha miradi au biashara kwa lengo la kupata pesa, huwa vigumu sana kuwa na pesa za kutosha kuanza utekelezaji wa wazo hilo. Karibu ufuatilie makala hii kwa karibu nikushirikishe njia 8 unazoweza kuzitumia ili kupata mtaji wa kutekeleza wazo lako. 1. Akiba binafsi “Mtu anayeweka akiba, ni mtu anayewaza kuhusu kesho.” M

BIASHARA YA KUUZA RASTA NA MAWIGI

     BIASHARA YA KUUZA RASTA NA  MAWIGI Biashara ya kuuza Rasta na Mawigi kwa bei ya jumla, wengi wanapata shida kuja paka Dar kununua Rasta na Mawigi kwa gharama ya juu, mfanyabiashara akiwa mgeni Dar anatumia gharama kubwa sana kwa kufikia Guest pamoja na Chakula. Kama ukiwai kutoa hii huduma kwa wafanyabiashara wa mikoani ni FURSA kwako na unakuwa umewasaidia kupunguza gharama kubwa na kupata faida kuwa kwao. Ukitaka kufanikiwa katika hii biashara fanya yafuatayo : Tafuta maduka yanayouza RASTA & MAWIGI kwa bei ya chini. Ili uweze kutoa OFA nzuri na kupata wateja wengi wa mikoani na kuwasaidia nao kupata faida kubwa kwa kununua kwako. Fungua Instagram Account; post RASTA & MAWIGI aina mbalimbali na bei zake, kumpa mteja njia nyingi za kuchagua bidhaa anayotaka kwenda kuuza kwa wateja wake. Pia post video za watu waliosuka kwa kutumia bidhaa zako au waliotumia kwa kupiga picha. Tumia Bank Account, kupokea malipo kutoka kwa wateja wako; kwa kutumia bank akaunti utakuw