Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2020

BIASHARA NDOGONDOGO ZENYE FAIDA YA HARAKA KWA MTAJI

 ZIFAHAMU BIASHARA NDOGONDOGO ZENYE FAIDA YA HARAKA KWA MTAJI MDOGO  Biashara ni kazi yoyote ambayo lengo lake kuu ni kupata faida lakini wakati mwingine badala ya faida tunapata hasara. Mfanyabiashara yeyote ni mjasiriamali(Risk taker) ambae anatoa pesa yake ili kuanzisha biashara bila kujali kuwa anaweza pata hasara. Aina za ujasiliamali, kuna wajasilimali wakubwa na kuna wajasiliamali wadogo hii hutokana na kiwango cha mtaji ambao mjasiliamalia anakuwanacho kwa ajili ya kuanzisha biashara. Maswali kubwa ambalo wajasiriamali wote huwa wanapata mwanzoni ni mengi sana mfano, fursa zipi zipo katika jamii?, aina za biashara nazoweza anzisha katika mazingiza husika, fursa za biashara katika wakati huu?, na wajasiliamali wengi hupenda biashara yenye faida ya haraka, pia hupenda biashara yenye faida kubwa. Baada ya tafiti mbali mbali nilizofanya katika maeneo mbali mbali nimegungua hizi aina za biashara ndogondogo zenye faida ya haraka na faida kubwa, ambazo ni fursa kwa mtu yeyote mwenye n

TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO NA TIBA YAKE

 TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE) 0748491485 Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI 1:UMRI Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea 2:KISUKARI Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi 3:DAMU NZITO Damu inapokua nzito pia  hupel

VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA SAHIHI YA VIDONDA VYA TUMBO

 *VIDONDA* *VYA* *TUMBO*   *NA* *TIBA* *SAHIHI* *YA* *VIDONDA* *VYA* *TUMBO* .  ☑️Vidonda Vya tumbo  ni majeraha ndani ya kuta za tumbo ambayo huashiria kupungiwa kwa maji katika mfumo wa mmeng 'enyo wa chakula, husababishwa na asidi kuzidi mwilini kuliko alkaline na pia vinaweza kuletwa na bacteria anaeitwa *Hpyroili* .   *DALILI* *ZA* *VIDONDA* *VYA* *TUMBO* .   *1* maumivu chini ya kitovu.   *2* maumivu ya kiuno na mgongo  *3* .mwili kupata ganzi.   *4.* uchovu kupita kiasi bila kufanya kazi, ngumu.   *5* .kichefuchefu au kujihisi kiungulia.   *6* . kukosa choo kabisa au kuvimbiwa kupata choo kigumu chenye kukatika Kama mbuzi.   *7* .kusahausahau mambo na kuwa na hasira ovyo.   *8* .tumbo kujaa gesi au kuunguruma.   *9* .kukosa hamu ya kula au kula kupita kiasi.   *10* .kuharisha kutapika nyongo au kutapika damu.   *KINGA* *YA* *VIDONDA* *VYA* *TUMBO* .   *1* .Punguza Hydroric Acid_kunywa maji kabla ya kula chakula kufwata taratibu za chakula kwani watu wengne hukimbilila kula b

SABUNI YA ALOVERA

 

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASILI NA TIBA YAKE BILA KUFANYIWA OPERESHENI

 UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI- HEMORRHOIDS (MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA ) Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa. Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70. Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa: Kuna aina mbili za bawasili: Bawasiri ya Ndani: Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia .Bawasiri ya Nje: Hiki ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa. Hutokea nje baada ya kujiimarisha ndani. Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja na hutegemea ni chanzo gani ambacho kimepelekea kuathirika na